Jacqueline Wolper's profile picture

Jacqueline Wolper

Verified

@wolperstylish

• Businesswoman | Entreprenuer | Actor
• Founder & CEO of @wolperstore
• Mother of Two @mitindojr @min_wolpertz 🇹🇿

instagram
Followers
10,363,177
Following
1,422
Posts
8,704
Engagement Rate
0.00%
Campaigns Featured in
1

Recent Posts

Post by wolperstylish
252
2024-12-09

karibuni sana Tupo sinza madukani 0759888288

Post by wolperstylish
356
2024-12-09

WOLSHER DAY & NIGHT CREAM ⭐ Jamani katika kitu hutakiwi kukosa usoni kwako ni hiii day & night cream ya Wolsher yaaani ni balaa na nusu 🍎Ina cream ya kutumia asubuh na cream yakutumia usiku wakati wa kulala yaani 2 in 1 ✨Ina collegen yakutosha ✨Inasaidia ngozi kuto zeeka mapema ✨Inamatokeo mazuri sana kwenye skin glowing ✨ Inarekebisha ngozi iliyo haribika na vipodoz vikali 💰50,000/= 📍TUPO SINZA MADUKANI 📞+2557 59888288

Post by wolperstylish
11,868
2024-12-08

When things are right, don’t worry about to elevate a self moment and give priority to the things that amazes us Where you can elevate your moment ? I prefer to be at @eplas_recreation

Post by wolperstylish
265
2024-12-07

Mungu Mkubwa saana asanteni kwa wish Na asante wote kwa Mapenzi Mengi Nilikua off line kwa Muda Na wote Ambao sijajibu msg zenu sup nitawajibu wote karibuni sana karibu Tuwahudumie🙏 0759888288

Post by wolperstylish
250

413

21,703
2024-12-06

I love This cake siyo Kwa utam ila kwa utam wa Maneno zaidi🥹 TO MY LOVELY WOMAN JQ ❤️❤️ . Ila watu Ninao eti snepuu😂😂 yes Am happy so happy 🙏 . Also Thank u wadogo zangu Jacq,secy,Irene,pink Na wote Mawapenda sanaa❤️❤️🥂

Post by wolperstylish
390
2024-12-06

None

Post by wolperstylish
36,319
2024-12-06

Thank you so much my love, ahsante kwa kuniwish mapema kabisa japo umekuwa wa kwanza kwenye mambo mengi ktk maisha yangu, your so lovely my love Umejua kuamsha hisia zangu kweli kweli sio kidogo, umejua kuweka tabasamu usoni mwangu kila saa, nathamini sana hisia zako juu yangu. Kuwa na wewe kumenifanya nijue nini maana ya upendo kwa vitendo na si maneno..hakika nakua mtoto kwako sijiwezi mpenzi. Ahsante kwa surprise na msg nzuri i real appreciate 😘 Swipe kuona msg kutoka kwa daktare wangu wa moyo umejua kuniponya my love ❤️❤️❤️🙏🏿🙏🏿

Post by wolperstylish
332
2024-12-06

Mungu Ni muaminifu sana Nawapenda wote Mlioniwish Nilikua busy Ambao sijawajibu Nitaendelea kujibu Tatatibu❤️🙏

Post by wolperstylish
243
2024-12-06

Mungu Ni muaminifu sana Nawapenda wote Mlioniwish Nilikua busy Ambao sijawajibu Nitaendelea kujibu Tatatibu❤️🙏

Post by wolperstylish
213
2024-12-06

Mungu Ni muaminifu sana Nawapenda wote Mlioniwish Nilikua busy Ambao sijawajibu Nitaendelea kujibu Tatatibu❤️🙏