Redmi Shop Tanzania
Redmi Retailer & Wholesaler in Tanzania / Delivery Popote
Nunua simu za Xiaomi & Redmi / Accessories za Redmi
Uaminifu ni Mkubwa
DSM, TANZANIA
Recent Posts
Redmi Tips Tumepigiwa sana simu na watu tofauti tofauti kwanini baadhi ya redmi models hazina GOOGLE SERVICES. Leo nataka nikufumbue macho ili usikosee TENA. YES NI KWELI KABISA kuna models za REDMI huwa hazina kabisa access ya GOOGLE SERVICES. Kiwanda cha Redmi kinapotoa model mpya huwa zinatoka za aina kama tatu ambazo ni GLOBAL VERSION, INDIAN VERSION na CHINESE VERSION. Tutaongelea GLOBAL NA CHINESE VERSION TU kwa leo. Watu wengi wamekua wakichagua CHINESE version bila kujua kwasababu tu bei yake ni MSELELEKO tofauti na GLOBAL version. Matokeo yake anakuja kupata shida kwenye matumizi yake ya kila siku kwasababu anakosa application zote za GOOGLE mfano Play store. Kwenye simu YOYOTE ya ANDROID ukikosa playstore lazima USOTE. Hivo basi hakikisha kabla hujanunua simu yoyote aina ya XIAOMI au REDMI kwa duka lolote duniani hata ukiwa unaagiza simu CHINA (mtandaoni) muombe muuzaji uweze kuhakiki kama unachonunua ni GLOBAL version au CHINESE version. Kujua namna ya kuhakiki fatilia post hiyo apo juu mpaka mwisho. Utanishukuru baadae 🙏🏾 Wasiliana nasi kupata simu ORIGINAL na yenye uhakika WHATSAPP/CALL +255 718 556 123 / +255 714 816 116
DECEMBER OFAA (Free Cover & Protector ✅ Redmi A3X (3 + 64) - 230,000/= Redmi A3 (3 + 64) - 250,000/= Redmi A3 (4 + 128) - 280,000/= Redmi 13C (4+ 128)_ 290,000/= Redmi 13C (8+ 256)_ 350,000/= Redmi 12 (4+ 128)_ 380,000/= Redmi 12 (8+ 256)_ 450,000/= Redmi 13(8+128GB) - 430,000/= Redmi 13(8+256GB) - 450,000/= Redmi 14C (4+128) - 300,000 Redmi 14C (8+256) - 400,000 Redmi Note 12 (8 + 256) - 450,000/= Redmi Note 13 (6+128) - 450,000/= Redmi Note 13 (8+256) - 500,000/= Redmi Note 12 Pro (8+256) - 600,000/= Redmi Note 13 Pro 4G (8 +256) - 650,000/= Redmi Note 13 Pro 5G (8 +256) - 800,000/= Redmi Note 13 Pro+ 5g(12 +512) - 1,100,000/= Xiaomi 14T 5g (12 + 512) - 1,300,000/= Xiaomi 13 ULTRA (16+512GB) - 2,450,000 Xiaomi 14 (12+512GB) - 2,250,000 Xiaomi 14 Ultra(16+512GB) - 2,950,000 📍 Tunapatikana Kariakoo mtaa wa aggrey nyuma ya jengo la China Plaza (Aggrey Plaza). 1st Floor, Lipo Bango la Redmi Shop Tz ☎️ Whatsapp/Call 0718556123 / 0714816116
Turn up the volume, turn up the fun! The #XiaomiSoundOutdoorSpeaker delivers powerful sound, wherever you go. Xiaomi sound outdoor 30W True wireless stereo 12hrs of playtime IP67 Water proof Price: 200,000/=
📌 Updates GOOGLE kupitia mfumo wa ANDROID wameleta suluhisho kwani utaweza kuzuia wezi wa simu yako kufuta au kuzima simu hiyo. Angalia hii post mpaka mwisho ili kupata suluhu ya tatizo hili. Tupe maoni yako hapo chini.
Xiaomi 14T 5G Titan Black & Blue colors available at our shop Processor: Mediatek Dimensity 8300 Ultra. RAM: 12 GB. Storage: 512 GB. Display: 6.67 inches. Camera: Triple Camera. Battery: Li-Po 5000 mAh. Free Silicone Cover ✅ Free Glass protector ✅ Global Version ✅ Price 1,300,000/= 📍 Tunapatikana kariakoo mtaa wa agrey nyuma ya jengo la China Plaza (Agrey Plaza) ☎️ Whatsapp/Call 0714816116 / 0718556123
DECEMBER OFFER Redmi A3X (3 + 64) - 230,000/= Redmi A3 (3 + 64) - 250,000/= Redmi A3 (4 + 128) - 280,000/= Free Cover & Protector ✅
Xiaomi 14T 5G Titan Black & Blue colors available at our shop Processor: Mediatek Dimensity 8300 Ultra. RAM: 12 GB Expandable to 16GB Storage: 512 GB. Display: 6.67 inches. Camera: Triple Camera. Battery: Li-Po 5000 mAh. Free Silicone Cover ✅ Free Glass protector ✅ Global Version ✅ Price 1,300,000/= 📍 Tunapatikana kariakoo mtaa wa agrey nyuma ya jengo la China Plaza (Agrey Plaza) ☎️ Whatsapp/Call 0714816116 / 0718556123
Xiaomi 14T 5G Titan Black & Blue colors available at our shop Processor: Mediatek Dimensity 8300 Ultra. RAM: 12 GB. Storage: 512 GB. Display: 6.67 inches. Camera: Triple Camera. Battery: Li-Po 5000 mAh. Free Silicone Cover ✅ Free Glass protector ✅ Global Version ✅ Price 1,300,000/= 📍 Tunapatikana kariakoo mtaa wa agrey nyuma ya jengo la China Plaza (Agrey Plaza) ☎️ Whatsapp/Call 0714816116 / 0718556123
Brand New Redmi Note 13 Pro 4G (8GB RAM + Expandable to 16GB RAM & 256GB Storage) 1 Year warranty ✅ Global Version ✅ Free 1 cover ✅ Free 1 screen protector ✅ Price: 650,000/= 📍Tunapatikana kariakoo nyuma ya jengo la China Plaza ☎️Whatsapp/call 0718556123/0714816116
Brand New Redmi Note 13 Pro plus 5G (12GB RAM & 512GB Storage) . 1 Year warranty ✅ Global Version ✅ Free Screen Protector ✅ Free Cover✅ Price: 1,100,000/= 📍Tunapatikana kariakoo nyuma ya jengo la China Plaza ☎️Whatsapp/call 0718556123/0714816116
Redmi Note 13 4G Processor: Snapdragon 685 RAM: 6 GB, 8 GB, 12 GB Storage: 128 GB, 256 GB Display: 6.67 inches Camera: 108 Dual Camera Battery: Li-Po 5000 mAh Redmi Note 13 (6+128) - 450,000/= Redmi Note 13 (8+256) - 500,000/= Free Cover na Protector✅ 📍 Tunapatikana kariakoo mtaa wa agrey nyuma ya jengo la China Plaza (Agrey Plaza) ☎️ Whatsapp/Call 0718556123 / 0714816116
Similar Influencers
News Cuff
Program Coding
El Rincón de China
Discover.Indo
KABUPATEN BANDUNG BARAT BERKABAR
Kreatif Videografer | Visual Story Maker
Info Lomba Indonesia
Kompas Tekno
TIMES Indonesia
Merdeka Siber • Belajar Cyber Security Dari Nol!
Vritimes Singapore
Pt. Visindo Prima Nusantara
Google Developer Group on Campus ITS
Bawana Margatama| Tips & Loker
#TransformTogether - Appkuni
Jaya Media Computer
InvestIdea Tech Showcase Day
The Leap - Insights | Podcasts | GTM
Genz.id
Ngonsul IT
IEAE - International Electronics and Smart Appliance Expo
Petani Kode | Coding & Growing
THOTH AI
Tips dan Trik Mahasiswa
TECNO Indonesia
DroidLime
officialinews
Dari Kamar | Creator Lynk
carikill | upgrade skill digital